Tuesday, August 16, 2011

Mwanahabari Fredy Kihwele na pendo wameremeta Njombe

Idaba ikiendelea katika kanisa la Kilutheri Njombe

Mwanahabari Fredy


Sebene Time...
Bwanaharusi Fredy Kihwele ambaye ni mwanahabari akiwa na mkewe Upendo kanisani huku akifurahi kwa kicheko na mpambe wake
 Zawadi
 Wadau wa Daraja
 Wana Daraja
 Gari la msimamizi lapata ajali wakati likitoka kanisani
 Harusi inapogeuka msiba baada ya shuhuda kuelezea jinsi alivyo okoa maisha ya bwana harusi katika ajali
 Maharusi na wapambe wao
 Maharusi
 Ndugu wa maharusi wakiwa katika picha ya pamoja
 Kanisani
 Jamaa na marafiki
 Hongera
 Kinadada wa maua
 Meza ya wazee
 Msamaria mwema Chacha (kulia) akisimulia mazingira ya ajali huku Bwana harusi na mpambe wake wakisikiliza
 Kanisani
 Ndugu wakiangua kilio ndani ya ukumbi baada ya msamaria mwema kutoa ushuhuda jinsi alivyomuokoa bwana harusi katika ajali
Bwana haharusi Fredy Kihwele akicheza kwa furaha
Wafanyakazi wa Daraja wakicheza kwa furaha

No comments: