Mwanahabari Fredy
Sebene Time... |
Bwanaharusi Fredy Kihwele ambaye ni mwanahabari akiwa na mkewe Upendo kanisani huku akifurahi kwa kicheko na mpambe wake |
Zawadi
Wadau wa Daraja
Wana Daraja
Gari la msimamizi lapata ajali wakati likitoka kanisani
Harusi inapogeuka msiba baada ya shuhuda kuelezea jinsi alivyo okoa maisha ya bwana harusi katika ajali
Maharusi na wapambe wao
Maharusi
Ndugu wa maharusi wakiwa katika picha ya pamoja
Kanisani
Jamaa na marafiki
Hongera
Kinadada wa maua
Meza ya wazee
Msamaria mwema Chacha (kulia) akisimulia mazingira ya ajali huku Bwana harusi na mpambe wake wakisikiliza
Kanisani
Ndugu wakiangua kilio ndani ya ukumbi baada ya msamaria mwema kutoa ushuhuda jinsi alivyomuokoa bwana harusi katika ajali
Bwana haharusi Fredy Kihwele akicheza kwa furaha |
Wafanyakazi wa Daraja wakicheza kwa furaha